ISBN 9789987686490
Pages 126
Dimensions 203mm x 140mm
Published 2009
Publisher Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania
Format Paperback

Heri

by Zefania Kalumuna

Hii ni hadithi inayochambua jamii ya mjini kwa kina na kuweka bayana matukio na matatizo mbalimbali ya vijana na jamii nzima. Mhusika mkuu katika hadithi hii, Heri, ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi anayeona vigumy kizingatia masomo kwa vishawishi vya mapenzi na kukikuta amebanwa na mahitaji ya mpenzi wake, Pendo, na ukali wa walimy wake na jinsi anavyojitahidi kujikwamua. Baba yake Heri, Anamhamasisha kwa kumwambia kuwa hina lake, Heri, lina maana kubwa: Hangaikia Elimy Raha Inakungoja. Ni Hadithi nzuri inayoonya,kufundisha na kuelimisha. 

This novel is about city people and particularly the engagement of youth and society in cities. It tells the story of a student in the city who finds himself embroiled in a problematic love relationship that interferes with his education; and shows how he tries to extricate himself.

Book Preview
Paperback
£17.00