ISBN 9789966469908
Pages 30
Dimensions 210x148 mm
Published 2019
Publisher East African Educational Publishers, Kenya
Format Paperback

Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa

by Pamela Kola

Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, toka lugha, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote. Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa ni mkusanyiko wa hadithi fupi. Katika hadithi hizi, tunasimuliwa juu ya asili ya matukio fulani fulani na yale yaliyotendeka kuyafanya yawe yalivyo leo. Kitabu hiki kimenuiwa kusomwa na wanafunzi wa Darasa la Tatu, la Nne na la Tano.

Book Preview
Paperback
£12.00