ISBN 9789966634436
Pages 196
Dimensions 197 x 128mm
Published 2022
Publisher Moran Publishers, Kenya
Format Paperback

MUALKEMIA

by Paulo Coelho

Ndoto huotwa ili ziandamwe. Maisha yanakusudiwa kuishiwa. Baadhi ya vitabu huandikwa ili visomwe, vipendwe na virithiwe na vizazi. Mualkemia ni kitabu kimojawapo cha vitabu kama hivi. Mualkemia ni hadithi ya ndoto ya mvulana mchungaji wa mifugo kutoka eneo la Andalusia, nchini Uhispania. Mvulana huyu anasa ri katika maeneo mengi yakiwemo masoko ya ajabu ya Afrika Kaskazini na baadaye kwenye jangwa nchini Misri. Mualkemia anamsubiri kwenye jangwa hili. Je, ataizimua ndoto yake? 

‘Vitabu vyake vimekuwa na athari ya kuimarisha maisha kwa mamilioni ya watu’ Gazeti la The Times

‘Mualkemia’ is a Kiswahili Translation of ‘The alchemist’; Paulo Coelho's masterpiece which tells the mystical story of Santiago, an Andalusian shepherd boy who yearns to travel in search of a worldly treasure. His quest will lead him to riches far different—and far more satisfying—than he ever imagined. Santiago's journey teaches us about the essential wisdom of listening to our hearts, recognizing opportunity and learning to read the omens strewn along life's path, and, most importantly, following our dreams.

 

Book Preview
Paperback
£19.80