ISBN 9789966342478
Pages 18
Dimensions 210x148 mm
Published 2014
Publisher Moran Publishers, Kenya
Format Paperback

Siku za Juma

by Florence Nyakeri

Juma and Maria are first-grade students. They do various things every day. The activities they do at home are different from those they do at school. Read this book to find out what Juma and Maria do.

 

Juma na Maria ni wanafunzi wa Darasa la Kwanza. Wao hufanya mambo mbalimbali kila siku. Mambo ambayo wanafanya nyumbani ni tofauti na mambo wanayofanya shuleni. Soma kitabu hiki. Utajua ni mambo gani Juma na Maria wanafanya.

Book Preview
Paperback
£12.00