Author
Ali Hilal
Ali Hilal ni mwandishi chipukizi aliyeibuka mitandaoni kwenye uandishi na hatimaye kuingia vitabuni. Ni mzaliwa wa Kisiwani Pemba, Zanzibar. Ni mwandishi anaeogelea bahari zote - Riwaya, hadithi fupi, ushairi na tamthilia. Miongoni mwa kazi zake zilizochapishwa ni Riwaya ya Safari yangu na Diwani ya Kurasa Mpya (Fungamano la Malenga).