Author
Christopher Bundala Budebah
Christopher Bundala Budebah alizaliwa mwaka 1956 huko Maswa, Simiyu. Ni mhitimu wa M.A Kiswahili, Stashahada ya Uzamili ya Ualimu, Shahada ya Kwanza ya Sanaa za Maonyesho na Cheti cha Sanaa za Maonyesho.
Mbali na tuzo ya Mabati, mwandishi aliwahi pia kushinda tuzo ya uandishi wa kazi za fashi kwenye shindano la Jubilei ya miaka 75 ya TUKI.