ISBN 9789987449798
Pages 116
Dimensions 210mm x 148mm
Published 2005
Publisher Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania
Format Paperback

Uwazi na Ukweli Kitabu cha Tano

Rais wa Watu Azungumza na Wananchi

by Benjamin W. Mkapa

Hiki ni Kitabu cha Tano na cha mwisho katika mfululizo wa vitabu vya Uwazi na Ukweli. Mfululizo huu wenye hotuba za kila mwisho wa mwezi za Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, una malengo makuu matatu. Kwanza ni kufanya hotuba hizo kuwa chanzo kimojawapo cha elimu ya ziada, hasa kuhusu mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, sababu zake na mwelekeo wa mambo hayo.

This series is a key record of the Presidency of Benjamin Mkapa of Tanzania, who held office from 1995-2005. From 2001 he instituted monthly TV and radio addresses to the Nation on various topics of national, political, social and economic interest. The addresses in these collections are organised chronologically.

Book Preview
Paperback
£27.00

About the Author

Benjamin W. Mkapa

Benjamin William Mkapa (born November 12, 1938) was the third President of the United Republic of Tanzania (1995–2005) and former Chairman for the Revolutionary State Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

Related Books